Citizen News

Expand Ad
Wednesday, 19 September 2012 18:15

Walimu Wakataa Nyongeza ya Serikali Featured

Posted By 
Rate this item

Walimu Wakataa Nyongeza ya Serikali

Mgomo wa walimu bado haujapata suluhisho, baada ya Waziri wa Fedha Njeru Githae kusisitiza kuwa hana uwezo wa kufanya uamuzi wa kulipa walimu kutoka kwa Wizara  yake. Githae amesisitiza kuwa ni Bunge tu ambalo linaweza kutoa idhini ya kuwaongezea walimu pesa, huku akiwashauri walimu kurejea kazini na kusubiri hadi baada ya kusomwa kwa bajeti ya mwaka ujao. Hilo limefanyika huku walimu wakisistiza kuwa mgomo utaendelea hadi walipwe

Last Modified Wednesday, 19 September 2012 18:26

You are here: Home Nipashe Kwenye Citizen Nipashe Habari