Katika mseto wetu taarifa za kaunti, polisi wamenasa zaidi ya lita elfu 10 za pombe haramu kwenye nyumba ya Makamu wa Rais wa zamani hukoThika. Kwingineko, bintiye Waziri wa zamani wa Fedha Arthur Magugu sasa ataka mazishi yake kusitishwa kwa muda.
Read 560 Times|
Published in















