Friday, 23 March 2012 20:56
Heka Heka
Waswahili husema kuwa heri kujikwa dole kuliko kujikwaa ulimi.ni msemo ambao ulionekana kuwachenga wanasiasa wiki hii. Basi katika makala ya hekaheka franklin macharia anaangazia jinsi matamshi ya baadhi ya wanasiasa , yaliondokea kuwa sumu kwao wenyewe


















