Citizen News

Headlines

Grenade attack reported in a shop at Bula-Sheikh in Garissa County.
Red-cross confirmed 4 people sustained injuries and taken to the Garissa Provincial General Hospital
World Health Organization's Emergency Committee holds talks,to discuss the Ebola epidemic.
Meeting is held in Geneva to examine screening measures at borders.
Former Mp Guyo Halakhe Liban shot dead on Wednesday night by suspected gang-star.
Guyo was heading to the mosque from his shop at around 7 pm.
Saturday, 25 May 2013 19:54

Wabunge Watofautiana Kuhusu Nyongeza Ya Mishahara Featured

Posted By 
Rate this item

Umoja wa wabunge katika harakati ya kufutilia mbali toleo rasmi la serikali lenye viwango vipya vya mishahara na marupurupu ya wabunge kama ilivyowekwa na tume ya mishahara na marupurupu, sasa unaonekena kupata mianya, huku baadhi ya wabunge wakionekena kuridhika na mishahara iliyopendekezwa na tume hiyo inayoonzwa na Sarah serem. Mbunge wa Imenti Kaskazini Rahim Dawood, amewataka wabunge wenzake kusitisha azimio lao la kutaka nyongeza ya mishara na kuitikia mwito wa rais Uhuru Kenyatta la kushughulikia ukuaji wa uchumi kwanza.

Last Modified Saturday, 25 May 2013 20:22

You are here: Home News More in News Local